Kenyans Live

Mifugo Nyamira Wapatiwa Chanjo Dhidi ya Ugonjwa wa Kwato na Midomo

Description (show more)

Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo amezindua rasmi mchakato wa chanjo kwa mifugo katika kaunti hiyo dhidi ya ugonjwa wa shuna au kwato na midomo.

Share: