Kenyans Live

Kaunti ya Kakamega yazindua ujenzi wa wodi mpya ya wazazi Navakholo

Description (show more)

Kaunti ya Kakamega inaendeleza juhudi za kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya ya mama na mtoto mchanga kwa kuzindua ujeniz wa wodi mpya ya wazazi katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Navakholo.

Share: