Kenyans Live

Wakazi wa Mavoko waingiwa na hofu baada ya nyumba zao kubomolewa kutokana na mzozo wa ardhi.

Description (show more)

Wakazi wa Mavoko huko Athi River kaunti ya Machakos , wamesalia na hofu baada ya kundi la watu wanaoshukiwa kuwa wahuni kubomoa nyumba zao na kuharibu mali yao kutokana na mzozo wa ardhi.

Share: