Viwanda vyote vya utayarishaji vileo nchini kuchunguzwa upya
Description (show more)
Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki ametangaza kuwa serikali inadhamiria kufanya ukaguzi mpya wa kampuni zote zinazotayarisha pombe humu nchini. Amesema hatua hiyo inajiri kufuatia ongezeko la pombe haramu inayouzwa kwa Wakenya bila wao kufahamu madhara yake. Naibu Rais alisema hayo alipokuwa katika ziara katika Kaunti ya Kiambu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:43Ifahamu China I Ziara za Kiteknolojia
· 2 views
1:09Former Nairobi PC Chelogoi jailed for three years in Sh1.3 billion land fraud
· 35 views
1:27Wanafunzi kutoka kaunti kame kunufaika na ufadhili
1:56Vijana eneo bunge la Kamukunji wapokea mafunzo ya ujuzi
2:14Wakazi wa Olkoilanka, Narok wapata kisima cha maji
· 1 views
1:54Vijana watumia ujuzi wao kusafisha, kukarabati shule Gatundu
· 2 views
1:52Wazazi watakiwa kuwalinda wasichana dhidi ya tamaduni potovu
2:08Wanahabari waadhimisha siku ya kukabiliana na dhulma dhidi yao
· 1 views
