Mtoto wa tano wa pacha afariki KNH, familia yalalamika
Description (show more)
Mtoto wa tano aliyekuwa amesalia hai miongoni mwa pacha waliozaliwa na mwanamke mmoja kutoka Juja alifariki alipokuwa akipokea matibabu maalum katika Hospitali ya Rufaa ya Kenyatta. Familia hiyo sasa inailaumu Hospitali ya Thika Level Five pamoja na KNH kwa madai ya utepetevu na kufeli kwa mifumo ya matibabu. Familia hiyo inasema mapungufu hayo yalichangia vifo vya watoto wote watano na kuikashifu KNH kwa madai ya kuwanyima huduma ya dharura. Na kama anavyoarifu mary Muoki, familia inadai madaktari walipoteza muda mwingi katika hospitali hiyo wakiwataka kwanza kuwasajili pacha hao kwa SHA ili wapate huduma.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:36Kilifi Yaripoti Kuongezeka kwa Saratani, Kesi 10 Zarekodiwa Kila Wiki
· 20 views
2:31Mradi wa Sh4.4 B Kuwasaidia Wakazi 340,000 Kaskazini Kukabiliana na Ukame
· 14 views

1:19Ex-Govt Spokesperson Mwaura calls for inclusion of PWD agenda in country’s political dispensation
· 68 views
2:01Viongozi wa Dini Wataka Udhibiti wa Sifa Kukabili Walaghai Katika Sekta
· 38 views
2:01Mwanasheria Mkuu Aangazia Umuhimu wa AI Katika Kuboresha Huduma Nchini
· 37 views
1:51Sifuna Azuiwa Kuhutubia Wanafunzi JKUAT, Aikosoa Serikali kwa Hatua Hiyo
· 296 views
2:20Wajir Yaongeza Maandalizi ya El Niño, Wadau Wahimizwa Kuimarisha Tahadhari
· 39 views
