Kenyans Live

Kamati ya afya Trans Nzoia yaunga mkono ujenzi wa hospitali ya Level 5 Kitale

Description (show more)

Siku chache baada ya Rais William Ruto kuzindua ujenzi wa hospitali ya Level 5 mjini Kitale, Kamati ya afya ya bunge la kaunti ya Trans Nzoia imetangaza kuunga mkono mradi huo.

Share: