Kenyans Live

Serikali yatakiwa kuimarisha utekelezaji wa haki za walio na ulemavu

Description (show more)

Serikali imehimizwa kuimarisha utekelezaji wa haki za watu walio na ulemavu  na kuhakikisha wanajumuishwa kikamilifu katika ustawi wa kitaifa. Maafisa husika walisema afisi  ya ujumuishaji itajitahidi kuhakikisha kuwa mahitaji na maslahi ya makundi ambayo yametelekezwa yanashughulikiwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: