Kenyans Live

Mikakati jumuishi yahitajika kukuza mustakabali wa wanaume

Description (show more)

Zaidi ya wanafunzi wa zamani 100 wa shule ya upili ya Nyahururu (Nyahururu Old Boys High School) wametoa wito wa kuwepo kwa mifumo imara zaidi ya kusaidiana miongoni mwa wanaume, pamoja na kuzingatia zaidi changamoto zinazowakabili wavulana na vijana wa kiume katika jamii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: