Obado na washukiwa wenzake kujua hatma yao Novemba
Description (show more)
Aliyekuwa Gavana wa Migori Okoth Obado na washukiwa wenzake wawili watajua hatma yao Novemba mwaka huu, mahakama itakapotoa hukumu katika kesi ya mauaji ya Sharon Otieno. Familia ya marehemu Sharon Otieno imeiomba mahakama imsikumu Obado kifungo cha nje ya gereza, ikisema ameonyesha majuto makubwa na yuko tayari kusaidia kuwalea na kuwasomesha watoto wa Sharon.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:36Kilifi Yaripoti Kuongezeka kwa Saratani, Kesi 10 Zarekodiwa Kila Wiki
· 20 views
2:31Mradi wa Sh4.4 B Kuwasaidia Wakazi 340,000 Kaskazini Kukabiliana na Ukame
· 14 views

1:19Ex-Govt Spokesperson Mwaura calls for inclusion of PWD agenda in country’s political dispensation
· 68 views
2:01Viongozi wa Dini Wataka Udhibiti wa Sifa Kukabili Walaghai Katika Sekta
· 38 views
2:01Mwanasheria Mkuu Aangazia Umuhimu wa AI Katika Kuboresha Huduma Nchini
· 37 views
1:51Sifuna Azuiwa Kuhutubia Wanafunzi JKUAT, Aikosoa Serikali kwa Hatua Hiyo
· 296 views
2:20Wajir Yaongeza Maandalizi ya El Niño, Wadau Wahimizwa Kuimarisha Tahadhari
· 39 views
