Kenyans Live

Washukiwa watano wa mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso wakanusha mashtaka

Description (show more)

Washukiwa watano wa mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso wamekanusha mashtaka na kudai kuwa wanadhulumiwa wakiwa kizuizini. Washukiwa hao, ambao ni Rose Mbithe, wanawe Chris Mulwa na Angela Mulwa, pamoja na maafisa wa polisi Elijah Kimoi na Kimutai Maritim, walimuomba Jaji Alexander Muteti kuwaachilia kwa dhamana, wakilalamikia dhulma na kudai kuwa uchunguzi unafanywa kwa mapendeleo.

Share: