Kenyans Live

Mbwa na Punda wapewa chanjo eneo la Kisushe kaunti ya Taita Taveta

Description (show more)

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya maradhi yatokanayo na kichaa cha mbwa, wakazi kaunti ya Taita Taveta wametakiwa kuhakikisha mbwa wao wanapata chanjo mara kwa mara. Katika eneo la Kishushe eneo bunge la Wundanyi ambapo wakazi wanategemea zaidi punda kwa ajili ya kubeba maji pia wametakiwa kuwapatia chanjo punda wao.

Share: