Kenyans Live

Zaidi ya wajumbe 200 wa chama cha ODM wanakutana Nairobi

Description (show more)

Zaidi ya wajumbe wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) wakutana jijini Nairobi kuimarisha chama chao kwa kuwapokea wanachama wapya. viongozi hao wa ODM walenga kuimarisha chama hicho wakijiandaa kwa uchaguzi

Share: