Kenyans Live

Muungano wa madaktari wataka wahudumu wa afya wapewe vifaa vya kujikinga na Ebola

Description (show more)

Muungano wa madaktari nchini kma unaitaka serikali kuwakinga wahudumu wa afya kwa kutoa vifaa vya kitaalamu ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa ebola.

Share: