Kenyans Live

Mfanyakazi wa zamani asimulia misukosuko katika ndoa ya Cohen na Wairimu

Description (show more)

Mfanyakazi wa zamani wa marehemu Tob Cohen na mkewe Sarah Wairimu ameieleza mahakama kuhusu uhusiano uliokumbwa na misukosuko kati ya wawili hao, kabla ya Cohen kupatikana amefariki nyumbani kwake jijini Nairobi. Shahidi huyo, Shilindwa Shishemi, amesimulia msururu wa matukio na mivutano aliyodai kushuhudia ndani ya nyumba ya Cohen na Wairimu.

Share: