Kenyans Live

Viongozi wa Kenya Kwanza waendelea kumkashifu rais mstaafu Uhuru Kenyatta

Description (show more)

Viongozi wa kenya kwanza waendelea kumkashifu rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kujiunga na upizani,badala ya kumsaidia rais Ruto kama alivyoahidi katika usemi maarufu wa yangu kumi na yako kumi.

Share: