Wakazi kutoka kaunti ya Kajiado walalamikia kuongezeka kwa ufisadi
Description (show more)
Wakazi kutoka kaunti ya Kajiado wanaitaka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini - EACC kuwachunguza na kuwafungulia mashataka maafisa wa serikali ambao wamekuwa wakijihusisha na ufisadi ambao umesabisha mamilioni ya fedha za umma kupotea katika kaunti hiyo. Wakizungumza kwenye kikao cha Umma ambacho kililenga kuhamazisha umma kuhusu namna ya kuripoti na kuzuia ufisadi , wakazi hao wanasema licha ya Kaunti ya Kajiado kutengewa mabilioni ya fedha kila mwaka, miradi mingi imekwama.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:06Peter Mijungu: Ng'ur ok ber kendo ok rach
2:02
2:28Wakazi wapokea miundombinu ya umeme Bomwagamo
5:36
1:50Serikali waimarisha usalama wa watahiniwa wa KCSE 2026
· 4 views
6:06Peter Mijungu: 'Empowerment' ma loko ngima en mar ochumi
· 1 views
2:46Kioni warns opposition against internal feuds ahead of 2027 elections
· 28 views
1:37Italia na Kilifi kuimarisha ushirikiano katika biashara, utamaduni, utalii na mafunzo ya ufundi
· 55 views
