Kenyans Live

ORPP na wadau wahimiza vyama vya kisiasa kuendesha chaguzi za mchujo kwa uwazi

Description (show more)

Ofisi ya msajili wa vyama vya kisiasa (ORPP), baraza la dini mbalimbali la Kenya (IRCK), pamoja na timu ya taifa ya amani na upatanisho zimevihimiza vyama vya kisiasa kuhakikisha uchaguzi wa mchujo wa vyama unaendeshwa kwa uwazi.

Share: