Kenyans Live

Wanawake Garbatula waimarisha vita dhidi ya ukeketaji wakati wa likizo za shule

Description (show more)

Wanawake wanaopinga ukeketaji katika kaunti ndogo ya Garbatula, Kaunti ya Isiolo, wameimarisha juhudi za kuhamasisha umma kuhusu madhara ya mila hiyo potovu, hasa wakati huu ambapo shule zimefungwa kwa likizo ndefu.

Share: