Maisha ya kawaida yaanza kurejea bonde la Ngelecha, Baringo
Description (show more)
Kwa takriban miongo mitatu, wakazi wa bonde la Ngelecha, huko Baringo Kusini waliogopa kuishi katika eneo hilo kutokana na ujangili uliosababisha vifo, kuziacha familia bila makazi na kuvuruga masomo. Miaka 25 baada ya baadhi ya mashambulizi makubwa zaidi kurekodiwa, eneo hilo sasa limeanza kuhuishwa kwa utaratibu huku wakazi wakirejea, mifugo ikichungwa kwa uhuru na shule kufunguliwa tena. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:56
2:11Local philanthropist donates school uniforms to Kibra learners
4:46KTN Obtains Bomas Contract, Reveals Details Behind KSh10.2 Billion Cost Increase
· 7 views
1:37Kachapin Condemns Former Kacheliba MP Lomunokol Over Alleged Incitement and Community Profiling
· 1 views
1:56Hundreds Join Breast Cancer Awareness Walk in Mombasa, Urge Early Screening
· 5 views
1:50Murang’a Opens Expanded Hospital Facilities to Boost Bed Capacity and Ease Congestion
· 6 views
2:05Mombasa Journalists Urge Faster Investigations into Attacks on Media Practitioners
· 3 views
2:01Communities in Mombasa clear drainage amid ongoing October-November-December rains
· 7 views
