Kenyans Live

Operesheni ya uokoaji yaendelea katika barabara ya 9th Street, Eastleigh

Description (show more)

Shughuli za uokoaji zinaendelea kwa sasa katika barabara ya 9th Street, mtaani Eastleigh, jijini Nairobi, ambako mwanahabari wetu Gatete Njoroge yuko kufuatilia hali ilivyo.

Share: