Kenyans Live

Wakandarasi Kilifi walalamikia madeni ya zaidi ya KSh 10B

Description (show more)

Wakandarasi katika Kaunti ya Kilifi wanadaiwa na kaunti hiyo zaidi ya KSh 10 bilioni, huku baadhi yao wakikabiliwa na faini kutoka KRA licha ya kutolipwa fedha zao. Seneta wa Homa bay Moses Kajwang amesema hali hiyo imewaweka wakandarasi katika changamoto za kifedha.

Share: