Kenyans Live

Watu wenye ulemavu kaunti ya Uasin Gishu wataka taarifa za serikali zipatikane kwa urahisi

Description (show more)

Watu wenye ulemavu katika kaunti ya Uasin Gishu wakiongozwa na mwenyekiti wa wadi ya Kapsaos ,James Rono wameiomba serikali kuhakikisha taarifa zinapatikana kwa urahisi kwa wanachama wake.

Share: