Serikali ya Kajiado yahimiza kugatuliwa kwa majukumu husika
2 viewsYouTube
Description (show more)
Serikali ya kaunti ya Kajiado imetoa wito kwa serikali ya kitaifa kukabidhi kikamilifu majukumu ya usimamizi wa ardhi kwa kaunti. Waziri wa ardhi wa kaunti hiyo Hamilton Parseina amesema kaunti zinaendelea kukabiliwa na changamoto katika kutatua mizozo ya ardhi kutokana na kukosa kukabidhiwa kikamilifu majukumu hayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
10:27TV47 News at 4PM with Peter Kamau | 19/09/2026
1:25
3:23“Life is becoming too dangerous for me”, Uhuru Kenyatta says over being misquoted by media
· 503 views
17:52CITIZEN TV NEWS BRIEFS AT 4PM ~ SEP 18, 2026
· 418 views
2:51Alarm as ‘panga boys’ terrorise boda boda riders in Kisauni, Mombasa
· 180 views
2:07Vijana watakiwa kutumia ujuzi kujipatia mapato
· 8 views
1:30Mikakati jumuishi yahitajika kukuza mustakabali wa wanaume
· 10 views
3:23Uhuru remarks his life is becoming ‘too dangerous’, forcing caution with off-the-cuff remarks
· 32 views
