Upinzani waitaka IEBC kuboresha teknolojia kuelekea 2027
Description (show more)
Muungano wa wananchi kuhusu marekebisho ya sheria za uchaguzi inayoongozwa na Aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga imeitaka IEBC kuweka Bayana Mikakati ya Uchaguzi wa urais mwaka wa 2027.Muungano huo ambao ni Tawi la Upinzani limepinga Kuweko kwa Kituo cha Kujmlisha Kura za Urais mwaka wa 2027 wakidai kwamba haijaruhusiwa Kikatiba. Pia wameitaka IEBC kuimarisha Teknolojia ya Uchaguzi kuzuia wizi wa Kura.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:36Kilifi Yaripoti Kuongezeka kwa Saratani, Kesi 10 Zarekodiwa Kila Wiki
· 20 views
2:31Mradi wa Sh4.4 B Kuwasaidia Wakazi 340,000 Kaskazini Kukabiliana na Ukame
· 14 views

1:19Ex-Govt Spokesperson Mwaura calls for inclusion of PWD agenda in country’s political dispensation
· 68 views
2:01Viongozi wa Dini Wataka Udhibiti wa Sifa Kukabili Walaghai Katika Sekta
· 38 views
2:01Mwanasheria Mkuu Aangazia Umuhimu wa AI Katika Kuboresha Huduma Nchini
· 37 views
1:51Sifuna Azuiwa Kuhutubia Wanafunzi JKUAT, Aikosoa Serikali kwa Hatua Hiyo
· 296 views
2:20Wajir Yaongeza Maandalizi ya El Niño, Wadau Wahimizwa Kuimarisha Tahadhari
· 39 views
