Kenyans Live

Familia 63 kaunti ya Taita Taveta zahofia kufurushwa licha ya kumiliki hatimiliki za ardhi

Description (show more)

Familia 63 eneo la Mbuyuni huko Taveta kaunti ya Taita Taveta zinaishi kwa hofu ya kufurushwa kutoka ardhi wanayoishi licha ya serikali kuwapatia hatimiliki miaka 20 iliyopita.

Share: