Serikali ya Nyandarua yaimarisha utayari wake wa kukabiliana na majanga kabla ya El Nino
20 viewsYouTube
Description (show more)
Serikali ya kaunti ya Nyandarua imeimarisha mpango wake wa utayari wa kukabiliana na majanga kabla ya mvua ya El Nino inayotarajiwa kunyesha. Gavana Kiarie Moses Badilisha amesema gatuzi hilo limetambua maeneo ambayo yako kwenye hatari na liko tayari kukabiliana na uwezekano wa mafuriko na uharibifu wa miundombinu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
10:27TV47 News at 4PM with Peter Kamau | 19/09/2026
1:25
3:23“Life is becoming too dangerous for me”, Uhuru Kenyatta says over being misquoted by media
· 503 views
17:52CITIZEN TV NEWS BRIEFS AT 4PM ~ SEP 18, 2026
· 418 views
2:51Alarm as ‘panga boys’ terrorise boda boda riders in Kisauni, Mombasa
· 180 views
2:07Vijana watakiwa kutumia ujuzi kujipatia mapato
· 8 views
1:30Mikakati jumuishi yahitajika kukuza mustakabali wa wanaume
· 10 views
3:23Uhuru remarks his life is becoming ‘too dangerous’, forcing caution with off-the-cuff remarks
· 32 views
