Wakazi waathirika kufuatia ukame wa muda mrefu
Description (show more)
Mamia ya wakazi katika vijiji vilivyo viungani mwa mji wa Magadi, wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji huku kipindi kirefu cha ukame kikiathiri watu na mifugo. Katika kijiji cha Ol Keri , kilichoko umbali wa kilomita 42 kutoka Magadi, vyanzo vya naji vimekauka baada ya mvua kukosa kunyesha kwa miezi kadhaa. Wakazi sasa wanaitaka serikali irejeshe huduma za maji na kuweka matangi pamoja na mabomba kijijini humo, wakisema hatua hiyo itapunguza masafa marefu wanayotembea kutafuta maji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:36Kilifi Yaripoti Kuongezeka kwa Saratani, Kesi 10 Zarekodiwa Kila Wiki
2:31Mradi wa Sh4.4 B Kuwasaidia Wakazi 340,000 Kaskazini Kukabiliana na Ukame

1:19Ex-Govt Spokesperson Mwaura calls for inclusion of PWD agenda in country’s political dispensation
2:01Viongozi wa Dini Wataka Udhibiti wa Sifa Kukabili Walaghai Katika Sekta
2:01Mwanasheria Mkuu Aangazia Umuhimu wa AI Katika Kuboresha Huduma Nchini
1:51Sifuna Azuiwa Kuhutubia Wanafunzi JKUAT, Aikosoa Serikali kwa Hatua Hiyo
2:20