Christine Adhiambo: Mwanamke anayebadilisha maisha ya familia za mitaani
Description (show more)
Christine Adhiambo si mgeni kwa familia zinazoishi mitaani jijini Eldoret, Kaunti ya Uasin Gishu. Kwa wengi wao, yeye ni zaidi ya rafiki, kwani amekuwa akiwajali na kuwasaidia kwa hali na mali. Mbali na kuwapa ushauri na chakula, Christine huwasaidia wale wanaokubali kuondoka mitaani kuunganishwa tena na familia zao. Baadhi yao pia wamepata fursa ya kurejea shuleni. Mbali na kuhudumia familia zinazoishi mitaani, Christine pia huwasaidia watu wasiojiweza katika jamii. Christine ndiye anayetuandalia makala ya wiki hii ya Mwanamke Bomba. Hii hapa ni simulizi yake.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
59:41Investing in Kenya: Opening a new chapter for the economy
· 4 views
2:29Kenya women’s rugby team clinches historic Youth Olympic gold
· 8 views
2:36Internal auditors urged to strengthen oversight of public funds
· 8 views
2:21Traders oppose new marine cargo insurance rules at Namanga border
· 22 views
1:56Banks unveil roadmap to boost climate-friendly financing
· 16 views
3:36NCBA projects 4.8% economic growth amid rising debt pressure
· 19 views
1:23:38THE EXPLAINER ~3RD NOV , 2026
· 608 views
14:46Wathire kũ Simon Kariuki? Cooka na mũciĩ andũ anyu mahone #WathireKũ
· 44 views
