Kenyans Live

Safari ya mgonjwa wa Ebola hadi Kenya

Description (show more)

Mgonjwa huyo wa Ebola, aliwasili nchini kupitia uwanja wa ndege wa JKIA siku ya Jumamosi na kuaga dunia siku mbili baadaye. Alianzia safari yake nchini DRC kwa barabara kuelekea Kampala na kisha kuabiri ndege hadi jijini Nairobi. Brenda Wanga anaangazia safari yake hadi hapa nchini.

Share: