Kenyans Live

Wadau wataka usawa katika mfumo mpya wa ufadhili wa masomo

Description (show more)

Wadau katika sekta ya elimu wanashinikiza kuwepo kwa usawa katika mfumo mpya wa ufadhili wa masomo nchini. Wakizungumza katika vikao vya umma vilivyoanza rasmi Mombasa na Trans-Nzoia, wadau hao wamewataka wanasiasa kukoma kuingilia sekta ya elimu, wakilaumu mwingilio huo kwa kudorora kwa elimu nchini.

Share: