Kenyans Live

Mradi wa kiwanda cha mafuta Lamu utaendelea - Ruto

Description (show more)

Rais William Ruto sasa anasema mradi wa kiwanda cha mafuta cha Lamu utaendelea, liwe liwalo. Akizungumza katika Kaunti ya Kilifi, Rais Ruto amedai kuwa viongozi wa upinzani waliokosa hisa katika kampuni ya mafuta ya mfanyabiashara wa Nigeria Aliko Dangote ndio wafadhili wa kesi iliyoko mahakamani, wakilenga kuzuia ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi cha Dangote huko Lamu. Ruto amesema hataruhusu mradi huo wa Sh2.2 trilioni usambaratishwe.

Share: