Kenyans Live

Washukiwa 40 waachiliwa kwa dhamana

Description (show more)

Washukiwa 40 waliokamatwa baada ya genge la wahuni kuvamia Mtaa wa Tumaini, huko Pipeline, unaomilikiwa na marehemu Gerishon Kirima, wameachiliwa kwa dhamana.

Share: