Wakazi wa Kajiado Mashariki wamtaka rais Ruto kutimiza ahadi ya kukarabati barabara
Description (show more)
Watumijai wa barabara ya Imaroro-Mashuuru kuelekea Isara huko Kajiado Mashariki wanamtaka Rais Willimma Ruto Kutimiza ahadi yake kukarabati barabara hiyo ambayo kwa sasa imeharibika vibaya na kueendelea kutatiza shuguli za uchukuzi. Wakazi hao wanasema Licha ya Rais Kuahidi na kutangaza mipango ya kukarabatiwa kwa barabara hiyo mara kadhaa ikiwemo ahadi ya Mwezi uliopita alipozuru eneo la Mashuuru, hadi sasa ahadi hizo zimesalia hewa, huku watumiaji wakihangaika barabarani.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:31:25The Last Word | Who is responsible for Nairobi's deadly buildings?
· 56 views
1:54Kenya records decline in fertility rate
· 26 views
33:09🔴LIVE || TV47 HABARI naye Andrine Kilemi || TV47KENYA
· 3K views
59:41Investing in Kenya: Opening a new chapter for the economy
· 27 views
2:29Kenya women’s rugby team clinches historic Youth Olympic gold
· 104 views
2:36Internal auditors urged to strengthen oversight of public funds
· 14 views
2:21Traders oppose new marine cargo insurance rules at Namanga border
· 104 views
1:56Banks unveil roadmap to boost climate-friendly financing
· 24 views
