Kenyans Live

Wadau wa elimu wapinga kurejeshwa kwa adhabu ya viboko shuleni nchini Kenya

Description (show more)

Wadau katika sekta ya elimu wametoa maoni toufauti kuhusu adhabu ambayo wanafunzi watundu wanapaswa kupewa shuleni. Baada ya kuwasilisha mapendekezo yao mbela ya kamati ya elimu ya bunge, wadau hao wapenga vikali kurejeshwa kwa adhabu ya viboko shuleni, wakidai kuwa inakiuka haki ya mtoto katika katiba.

Share: