Kenyans Live

Waziri wa zamani Moses Kuria atoa madai mapya kuhusu uchaguzi wa 2013

Description (show more)

Waziri wa zamani Moses Kuria sasa anadai kuwa rais mstaafu uhuru kenyatta anafahamu walivyomsaidia kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2013 na 2017. Kulingana na Kuria, uhuru hakushinda uchaguzi wa mwaka 2013, kwani walienda kortini kupinga ujumuishaji wa kura zilizokataliwa na hivyo uhuru akatangazwa mshindi. Kuria anadai , walitumia mbinu wanayoijua ya kuzuia uchaguzi wa urais wa mwaka wa 2013 urudiwe.

Share: