Kenyans Live

Sakaja asema kaunti haikuidhinisha jumba lililoporomoka Eastleigh

Description (show more)

Serikali ya Kaunti ya Nairobi imesema haikuidhinisha ujenzi wa jumba la ghorofa 18 lililoporomoka jana katika mtaa wa Eastleigh, jijini Nairobi. Gavana Johnson Sakaja ametoa kauli hiyo huku mmiliki wa jumba hilo akiendelea kutafutwa. Hali hiyo imeibua maswali kuhusu taratibu za utoaji wa vibali vya ujenzi na uwazi katika usimamizi wa miradi ya ujenzi, huku Mamlaka ya Kitaifa ya Ujenzi (NCA) ikikabiliwa na maswali kuhusu idhini ya jumba

Share: