Kenyans Live

Wakaazi wa Maralal kaunti ya Samburu watarajia barabara kukamilika ili kuboresha usafiri na biashara

Description (show more)

Wakaazi wa Maralal kaunti ya Samburu wanamatumaini ya kukamilishwa kwa ujenzi wa barabara huku wakisema kuwa usafiri utaimarishwa na kuboresha biashara.

Share: