Kenyans Live

Wakazi wa Magadi wakumbwa na tatizo la uhaba wa maji

Description (show more)

Serikali imetuma malori kusambaza maji safi katika shule za msingi za umma pamoja na wakazi katika wadi ya Magadi kaunti ya Kajiado ili kushughulikia tatizo la uhaba wa maji linaloathiri eneo hilo kufuatia kufungwa kwa kampuni ya uchimbaji madini ya Tata ambayo hapo awali iliwasambazia wakazi bidhaa hiyo muhimu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: