Kenyans Live

Wadau wa usafiri Kisii, Nyamira, Migori na Homa Bay wahamasishwa kuhusu usalama barabarani

Description (show more)

Wadau katika sekta ya usafiri kutoka kaunti ya Kisii, Nyamira, Migori na Homa Bay wamekongamana mjini Kisii kwa shughuli ya hamasisho ya jinsi ya kuzuia ajali barabarani.

Share: