Kenyans Live

Muungano wa walimu wa KNUT waikosoa TSC kuhusu makato ya mishahara

Description (show more)

Muungano wa walimu wa KNUT tawi la Keiyo na Marakwet katika kaunti ya Elgeyo Marakwet, umesuta vikali hatua ya Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) ya kuwahamisha baadhi ya walimu walio kutoka muungano huo hadi muungano wa KUPPET bila kuwashirikisha.

Share: