Kenyans Live

Serikali kuongeza wanufaika wa Inua Jamii

Description (show more)

Serikali inapanga kuongeza idadi ya wanaonufaika na mpango wa Inua Jamii kutoka takriban watu milioni 1.7 hadi wanufaika milioni 2.5.

Share: