Kenyans Live

Washukiwa wawili wakamatwa Machakos wakisafirisha pembe za ndovu kwa pikipiki

Description (show more)

Maafisa wa huduma kwa wanyamapori wamewakamata washukiwa wawili katika kaunti ya Machakos walipokuwa wakisafirisha pembe za ndovu zenye uzani wa kilo 12 na thamani ya shilingi milioni 1.2 kwa pikipiki. Taarifa kamili katika dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: