Kenyans Live

Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli amtaka Uhuru Kenyatta kukamatwa kwa tuhuma za kuchochea wakenya

Description (show more)

Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli ameitaka serikali kumkamata rais mstaafu uhuru kenyatta, akimshutumu kwa kuchochea wakenya dhidi ya serikali iliyopo mamlakani.

Share: