Kenyans Live

Familia yake Sharon yaomba mahakama imhukumie Obado kifungo cha nje

Description (show more)

Kwenye tukio jipya katika kesi ya mauaji ya Sharon Otieno, familia yake sasa inaiomba mahakama kutomhukumia aliyekuwa gavana wa kaunti ya Migori Okoth Obado kifungo cha gerezani  ikisema imemsamehe baada ya yeye mwenyewe kuiomba imsamehe. Mamaye Sharon, Melinda Auma, aliiambia mahakama kwamba familia hiyo ingependa Obado ahukumiwe kifungo cha nje ili asaidie kuwalea watoto wengine watatu wa Sharon.mahakama hiyo leo ilikamilisha kikao chake ili kucunguza maombi yaliyowasilishwa na pande zote kwenye kesi hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: