Hofu ya Ebola yaongezeka katika mpaka wa Kenya na Uganda
Description (show more)
Hofu ya kusambaa kwa Ugonjwa hatari wa Ebola imeenea nchini hasa kwenye mpaka wa Kenya na Uganda kutokana na utepetevu unaoendelea kushuhudiwa.Raia wa kigeni sawia na wakenya wanaendelea kuvuka pande zote za mpaka bila ukaguzi wowote wa kiafya na hakuna mikakati yoyote ya kuangalia dalili za ugonjwa huo. Lakini licha ya haya, Wizara ya Afya imesema kuwa mikakati ya kuzuia kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola imewekwa. Hospitali ya Mama Margaret Uhuru Kenyatta imeteuliwa kuwa kituo cha kuwatenga wagonjwa wanaoshukiwa kuambukizwa Ebola.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
59:41Investing in Kenya: Opening a new chapter for the economy
· 4 views
2:29Kenya women’s rugby team clinches historic Youth Olympic gold
· 8 views
2:36Internal auditors urged to strengthen oversight of public funds
· 8 views
2:21Traders oppose new marine cargo insurance rules at Namanga border
· 22 views
1:56Banks unveil roadmap to boost climate-friendly financing
· 16 views
3:36NCBA projects 4.8% economic growth amid rising debt pressure
· 19 views
1:23:38THE EXPLAINER ~3RD NOV , 2026
· 608 views
14:46Wathire kũ Simon Kariuki? Cooka na mũciĩ andũ anyu mahone #WathireKũ
· 44 views
