Kenyans Live

Serikali ya Nyeri yazindua vituo vya kuwaokoa manusura wa dhuluma za kijinsia

Description (show more)

Katika juhudi za kuimarisha usaidizi na huduma kwa waathiriwa wa dhula za kijinsia na kingono .Serikali ya kaunti ya Nyeri imetangaza mipango ya kuanzisha kituo cha kuhifadhi waathiriwa  wa dhulma hizo katika mwaka huu wa fedha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: