Kenyans Live

Gereza la Embu latarajiwa kunufaika na kituo mahususi

Description (show more)

Gereza la Wanawake la Embu linatarajiwa kupata chuma kipya cha kina mama na watoto chenye  thamani ya shilingi milioni 9, ambacho kitatoa mazingira salama kwa watoto wachanga kama sehemu ya mageuzi pana ya serikali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: