Kenyans Live

Simanzi Kisumu baada ya watu watano wa familia moja kufariki

Description (show more)

Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Kitare, Seme, Kaunti ya Kisumu, kufuatia kifo cha watu watano wa familia moja waliofariki katika ajali iliyotokea Jumatatu eneo la Kikopey, Kaunti ya Nakuru.

Share: