Kenyans Live

Muungano wa kina Mama chini ya mwavuli wa Jubilee Kisii wampigia debe Matiang’i

Description (show more)

Muungano wa Kina Mama Chini ya mwavuli wa Jubilee Women League Kutoka eneo la Gusii wamepongeza hatua ya kupokezwa Dkt Fred Matiangi mamlaka ya kuongoza chama hicho na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.

Share: