Kenyans Live

Watoto wawili wateketea hadi kufa ndani ya nyumba kaunti ya Bungoma

Description (show more)

Huzuni imetanda katika kijiji cha Lwanda B, wadi ya Maraka, eneo bunge la Webuye Mashariki, kaunti ya Bungoma, baada ya watoto wawili kuteketea hadi kufa wakiwa ndani ya nyumba yao.

Share: